Waliokaa kuanzia kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TACT Dr. John Kyaruzi, Mhe. Martini Shigela RC Morogoro, Mhe. Dr. Ashatu Kijaji-Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara, Mwenyekiti wa Bodi wa Wadhamini wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi-NEEC, na Katibu mtendaji wa NEEC Beng’i Issa.

Waliosimama kuanzia kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara Dr.Juma Makaranga, Ndugu Tixion Nzunda-Katibu Mkuu wa Wizara ya Uvuvi na Ufugaji(Ufugaji) na Mjumbe wa Bodi ya wadhamini TACT, na wa mwisho ni Ndugu Timothy Mbaga-CEO wa Baraza la Wakulima Tanzania(ACT) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya TACT